AIRDROPS ni nini?

Airdrop ni njia ya kufanya marketing ya coin/token ambapo huwa unapewa coin/token bure (with vi-condition vidogo vidogo kama kusubscribe au kuwapost social media kama twitter). Hii inafanywa ili kutengeneza publicity, kupata wamiliki wengi wa hio coin/token na in the long run kuitengenezea hype!