Bitcoin ni mfumo mpya wa kifedha ambao tunaweza
kuuita ni mfumo wa kidigital kwani haina hii ya fedha au
sarafu huwezi kuzishika kama zilivo pesa za kawaida na pia
hata katika utumaji wake baina ya mtu mmoja na
mwingine hufanyika kwa njia ya mtandao tu.
-Bitcoin ni pesa ya kwanza ya kidigitali au cryptocurrency
ya kwanza duniani iliyogunduliwa au kutengezwa
mwaka 2009.
-Sarafu hii au fedha hii ya kimtandao ipo kwenye
group la pesa linaloitwa Cryptocurrency.