Niwakati wakujitoa na kuipatiya jamii zetu Elimu ya #BlockchainTechnology na #BTC kwa ujumla kwa vijana wetu , waachane na michezo ya kubeti kwani haina uwezo wakuwatoa walipo zaidi yakuzalisha vijana maskini na tegemezi ,Sasa ni muda wa kuamka šŸ’ŖšŸæšŸ’ŖšŸæšŸ”„šŸ”„