"Krismasi njema na mwaka mpya wenye furaha! Tunaposherehekea msimu huu wa upendo,nawatakia amani,afya njema na mafanikio yasiyo na kikomo.Mungu hawajaze furaha tele katika kila hatua ya maisha yenu.Baraka za Krismasi ziwe nanyi daima!"