#PiNetwork
Ni jambo la uelewa tu ktk huu mradi hakuna anaelewa siku rasmi ya Open Mainnet tunao waita viongozi ni watu tu walio jitolea kuusoma vizuri mradi na kuuelewa na kuwa na imani nao kisha wakaamua watumie mda wao kujitolea kuelimisha jamii yetu na kuhamasisha jamii yetu kushiriki ktk huu mradi wenye manufaa makubwa ya baadae
Hivyo basi binafsi sioni kosa lao hata kidogo maana wametoa hamasa sana ya watu kuufatilia mradi kwa karibu zaidi kwa matumaini ya Open Mainnet ya mwezi December 24
Kwangu mimi wanasitahili kupongezwa sana maana wanamchango mkwabwa sana katika matokeo ya leo katika mradi
1. 18m KYC ikiwa lengo lilikuwa ni 15m
2. 8M Migration ikiwa lengo ni 10m
3. 80 Mainnet App ikiwa lengo ni 100
Haya matokeo hayakuja tu yenyewe kunakazi kubwa imefanyika
Nayo ni elimu na hamasa kutoka kwa viongozi wetu
Kwangu binafsi
Natoa pongezi nyingi sana kwa viongozi wote na wale wasiokuwa viongozi kwa namna moja ama nyingine wameshiliki kwa sehem kuleta matokeo haya
Jambo la kuzingatia kwa Pioneers ni kusoma mradi na kueelewa kama inavyopaswa kuwa kwani kila Crypto project ina misingi yake ilikuwezesha future ya mradi na ni Muhimu kuzingatia kile ambacho Core Team imesisitiza.
Binafsi natambua jinsi ilivyo ngumu kusubiri lakini subira yavuta heri kwani hakuna nyumba bila misingi.
#OpenMainnet iko njiani na nikaribu kuliko hapo kwanza lets keep Mining.
PiNetwork to the moon 🌙📮⛏️