Dola na fedha za Kiafrika

Nchi nyingi za Afrika zinategemea dola ya Marekani.

Nchi moja ya Kiafrika haitakubali sarafu ya nchi nyingine ya Kiafrika lakini watakubali dola ya Marekani tulifanya utafiti wa sarafu ya amana katika benki na kuona jinsi viwango vya dola vinakufanya kupoteza nishati inayohifadhiwa kwenye sarafu yako ya malipo Tanzania shilling

Tarehe 30 Septemba 2023 tuliweka shilingi za Tanzania milioni 1 kwenye benki ambayo wakati huo dola 1 ya Marekani iligharimu shilingi 2510.37 za Tanzania. Kwa hivyo milioni 1 iligharimu karibu $ 398.35

Tuliacha pesa hiyo kwa mwaka moja na kujaribu kuzibadilisha. Bei ya dola ilipanda hadi

$ 1 = 2655.00

Hiyo inamaanisha basi milioni 1 iligharimu karibu 376.84

Tuliweka 398.35 na sasa ni 376.84

Hiyo ina maana kwamba tumepoteza karibu $21.7 sawa na shilingi 57613.5 ya Tanzania.

Kumbuka

Hatukujumuisha kodi, ada za benki, kiwango cha riba na ada za Huduma

Tunaamini Bitcoin ndio suluhisho la tatizo hili kwa Udanganyifu wa dola ya Marekani