Binance Square
LIVE
LIVE
Johnson-Mmari
--595 views
Traduzir
Watu Kutaka pesa za haraka na kwa pupa (Tamaa) Hili ni tatizo ni kubwa sana miongoni mwa vijana wengi wa Tanzania na Africa kwa ujumla, utakuta kijana akishapata uelewa kidogo juu ya bitcoin anaanza kutafuta sehemu ya kuwekeza kwa haraka pasipokuwa na uhakika juu ya usalama wa kampuni hiyo ila anawekeza kwasababu tu ameambiwa inalipa vizuri na yeye anataka pesa za haraka.. mwisho wa siku anajikuta kampuni hiyo inapotea mtandaoni na anakula hasara na baadae na yeye anaanza kuamini kuwa cryptocurrency ni utapeli au wizi na baadae anakata tamaa juu ya crptocurrency na kuwathibitishia watu wa jamii inayomzunguka kuwa cryptocurrency sio salama, kumbe yeye ndio alikurupuka na kufanya maamuzi yasiyo sahii pia hakupata uelewa wa kutosha juu ya fursa hii.

Watu Kutaka pesa za haraka na kwa pupa

(Tamaa)

Hili ni tatizo ni kubwa sana miongoni mwa vijana

wengi wa Tanzania na Africa kwa ujumla, utakuta

kijana akishapata uelewa kidogo juu ya bitcoin

anaanza kutafuta sehemu ya kuwekeza kwa haraka

pasipokuwa na uhakika juu ya usalama wa kampuni

hiyo ila anawekeza kwasababu tu ameambiwa

inalipa vizuri na yeye anataka pesa za haraka..

mwisho wa siku anajikuta kampuni hiyo inapotea

mtandaoni na anakula hasara na baadae na yeye

anaanza kuamini kuwa cryptocurrency ni utapeli au

wizi na baadae anakata tamaa juu ya crptocurrency

na kuwathibitishia watu wa jamii inayomzunguka

kuwa cryptocurrency sio salama, kumbe yeye ndio

alikurupuka na kufanya maamuzi yasiyo sahii pia

hakupata uelewa wa kutosha juu ya fursa hii.

Aviso legal: contém opiniões de terceiros. Não é um aconselhamento financeiro. Consulte os Termos e Condições.
0
Respostas 2
Criador Relevante
LIVE
@Square-Creator-4e7146219

Explore mais do Criador

--

Últimas Notícias

Ver Mais
Sitemap
Cookie Preferences
Termos e Condições da Plataforma