We teach our children #CyrptoFutureMoney and how to make money. It's not a cartoon anymore. This is their world. Days are not many. Make sure you don't be asked later by your children "DAD/MOM, WHEN YOUR FRIENDS ARE BUSY WITH CRYPTO, WHAT WERE YOU DOING?" #BinanceAfrica
Father's Day Is A Special Day To Show Love & Respect To Father's, The Man Who Taught You How To Dream Big & Work Hard To Achieve Those Dreams.“ "A Father Doesn’t Tell You That He Loves You. He Shows You." — Dimitri The Stoneheart Father May Be Educated OR Uneducated, But He Is The "Best Guide

Spidi na ukuaji wa maisha vinatufanya tusahau ku-enjoy maisha yenyewe tunayoyatafuta.
- Unatafuta hela kuboresha familia, unakosa muda wa kutulia na familia. - Unafukuzia kazi unapata kazi unaishi ukilalamika huipendi kazi - Mtaani kwako hujuani na mtu zaidi ya jirani wa karibu sana ila unachati na watu zaidi ya 100 mtandaoni - Unanunua nguo wanakuambia imepitwa na fashion - Simu ni nzima haina tatizo ila unahitaji mpya iliyotoka - Mimea ya plastiki inauzwa ghali kuliko halisi - Unakula chakula cha aina moja zaidi ya miezi 3 sababu ni haraka kupika au kununua - Ukikosa internet hakuna kingine unaweza fajya zaidi ya kulala - Kabla hujaipata hela ushaipangilia vizuri, ukiipata imeisha tayari na hujafanya ulichopanga…

1.Tafuta mfanyabiashara ambaye biashara yake haipo kwenye Google Maps 2.Ingia #Google.com 3.Mfunguliye Akaunti Bure 4.Pin location ya hiyo Biashara kwenye Google maps 5.Google watakutumia verification kwa Sms au Email 6.Mlipishe mteja 20k,Malipo baada ya kazi.
Masomo ya kuzingatia zaidi maishani ni saikolojia ya mwanadamu,falsafa,mindset na sayansi ya kuzalisha Pesa, NOTES--->Sayansi ya kuzalisha Pesa #cyrpto and#BlockchainTechnologies
Bitcoin ni mfumo mpya wa kifedha ambao tunaweza kuuita ni mfumo wa kidigital kwani haina hii ya fedha au sarafu huwezi kuzishika kama zilivo pesa za kawaida na pia hata katika utumaji wake baina ya mtu mmoja na mwingine hufanyika kwa njia ya mtandao tu. -Bitcoin ni pesa ya kwanza ya kidigitali au cryptocurrency ya kwanza duniani iliyogunduliwa au kutengezwa mwaka 2009. -Sarafu hii au fedha hii ya kimtandao ipo kwenye group la pesa linaloitwa Cryptocurrency.
Niwakati wakujitoa na kuipatiya jamii zetu Elimu ya #BlockchainTechnology na #BTC kwa ujumla kwa vijana wetu , waachane na michezo ya kubeti kwani haina uwezo wakuwatoa walipo zaidi yakuzalisha vijana maskini na tegemezi ,Sasa ni muda wa kuamka 💪🏿💪🏿🔥🔥
Watu Kutaka pesa za haraka na kwa pupa (Tamaa) Hili ni tatizo ni kubwa sana miongoni mwa vijana wengi wa Tanzania na Africa kwa ujumla, utakuta kijana akishapata uelewa kidogo juu ya bitcoin anaanza kutafuta sehemu ya kuwekeza kwa haraka pasipokuwa na uhakika juu ya usalama wa kampuni hiyo ila anawekeza kwasababu tu ameambiwa inalipa vizuri na yeye anataka pesa za haraka.. mwisho wa siku anajikuta kampuni hiyo inapotea mtandaoni na anakula hasara na baadae na yeye anaanza kuamini kuwa cryptocurrency ni utapeli au wizi na baadae anakata tamaa juu ya crptocurrency na kuwathibitishia watu wa jamii inayomzunguka kuwa cryptocurrency sio salama, kumbe yeye ndio alikurupuka na kufanya maamuzi yasiyo sahii pia hakupata uelewa wa kutosha juu ya fursa hii.