1.Tafuta mfanyabiashara ambaye biashara yake haipo kwenye Google Maps

2.Ingia #Google.com

3.Mfunguliye Akaunti Bure

4.Pin location ya hiyo Biashara kwenye Google maps

5.Google watakutumia verification kwa Sms au Email

6.Mlipishe mteja 20k,Malipo baada ya kazi.