Bado Bitcoin inashuka mpaka $38,500 Kuna uwezekano mkubwa ikashuka zaidi mpka $32K kabla ya mwezi wa tatu.. ambapo mwezi huo tunataraji itakuwa Bitcoin halving ambapo Bitcoin itafika $50k

#Instagram "Crypto_currency Tanzania 馃嚬馃嚳"