*DALILI ZA KUTHIBITISHA OPEN MAINNET 31 DECEMBER 2024*
*Kutokana na Idadi iiyobaki ya wallet kufikia 10M migrated wallets,ilitakiwa kuanzia tarehe 16 mpaka 30 idadi kwa saa iwe wallet 7,000 lakini imevuka kwa lisaa ni zaidi ya wallets 10,000 zinazoingiziwa Pi Coin.Pia ilitakiwa kwa siku iwe na wastani wa Pi 50milioni ziwe zimeachiwa kwa ajili ya migration lakini imekuwa Mara mbili yake kwa siku na kufikia zaidi ya 100Milioni kwa siku*
*Dr Cheng Diao Fan ambaye ni Mrs Nikolas na member wa Core Team amesoma na kupewa CERTIFICATE pia ya Elimu ya Saikolojia ya Binadamu! Hivyo hataweza kuua mioyo na AFYA za watu kwa hiki wanachoamini na walichojiweka tayari kupokea OM mwishoni mwa mwaka huu*
*Mpaka sasa Core Team hazijaeleza kushindwa kukamilika kwa mradi huu kuhusu kufunguliwa OM hii inaonyesha kwamba ratiba ya kufunguliwa Bado iko vile vile na ingekuwa imebadilika ilitakiwa Tangazo litoke mapema la kusitisha kabla ya kukaribia nchi ya ahadi*
*MFANO DHAHIRI*
*Bwana/Bibi Harusi wanapopanga tarehe ya harusi yao huwa hawasubiri tarehe ya tukio ambayo watu wako Sehemu ya Tukio na wakatangaziwa kusogeza tarehe mbele ya tukio,la hasha Bali huwa wanashauriana kabla ya tukio kuwaomba watakaogudhuria mabadiliko ya Tarehe ya tukio* Hivyo mpaka sasa siku y Tukio hatujatangaziwa kubadilishwa Bado ni dhahiri kwamba kila kitu kinaenda kutokea kama kilichopangwa.