Binance Square
LIVE
Johnson-Mmari
@Square-Creator-4e7146219
Following
Followers
Liked
Shared
All Content
LIVE
--
1.Tafuta mfanyabiashara ambaye biashara yake haipo kwenye Google Maps 2.Ingia #Google.com 3.Mfunguliye Akaunti Bure 4.Pin location ya hiyo Biashara kwenye Google maps 5.Google watakutumia verification kwa Sms au Email 6.Mlipishe mteja 20k,Malipo baada ya kazi.
1.Tafuta mfanyabiashara ambaye biashara yake haipo kwenye Google Maps
2.Ingia #Google.com
3.Mfunguliye Akaunti Bure
4.Pin location ya hiyo Biashara kwenye Google maps
5.Google watakutumia verification kwa Sms au Email
6.Mlipishe mteja 20k,Malipo baada ya kazi.
Spidi na ukuaji wa maisha vinatufanya tusahau ku-enjoy maisha yenyewe tunayoyatafuta. - Unatafuta hela kuboresha familia, unakosa muda wa kutulia na familia. - Unafukuzia kazi unapata kazi unaishi ukilalamika huipendi kazi - Mtaani kwako hujuani na mtu zaidi ya jirani wa karibu sana ila unachati na watu zaidi ya 100 mtandaoni - Unanunua nguo wanakuambia imepitwa na fashion - Simu ni nzima haina tatizo ila unahitaji mpya iliyotoka - Mimea ya plastiki inauzwa ghali kuliko halisi - Unakula chakula cha aina moja zaidi ya miezi 3 sababu ni haraka kupika au kununua - Ukikosa internet hakuna kingine unaweza fajya zaidi ya kulala - Kabla hujaipata hela ushaipangilia vizuri, ukiipata imeisha tayari na hujafanya ulichopanga… [https://www.binance.info/en/activity/referral-entry/CPA/together-v3?ref=CPA_00JQBM7I4K](https://www.binance.info/en/activity/referral-entry/CPA/together-v3?ref=CPA_00JQBM7I4K)
Spidi na ukuaji wa maisha vinatufanya tusahau ku-enjoy maisha yenyewe tunayoyatafuta.

- Unatafuta hela kuboresha familia, unakosa muda wa kutulia na familia.
- Unafukuzia kazi unapata kazi unaishi ukilalamika huipendi kazi
- Mtaani kwako hujuani na mtu zaidi ya jirani wa karibu sana ila unachati na watu zaidi ya 100 mtandaoni
- Unanunua nguo wanakuambia imepitwa na fashion
- Simu ni nzima haina tatizo ila unahitaji mpya iliyotoka
- Mimea ya plastiki inauzwa ghali kuliko halisi
- Unakula chakula cha aina moja zaidi ya miezi 3 sababu ni haraka kupika au kununua
- Ukikosa internet hakuna kingine unaweza fajya zaidi ya kulala
- Kabla hujaipata hela ushaipangilia vizuri, ukiipata imeisha tayari na hujafanya ulichopanga…

https://www.binance.info/en/activity/referral-entry/CPA/together-v3?ref=CPA_00JQBM7I4K

#Bitcoin‬    is pumping again and we already said it causes climate change and only criminals use it, what now
#Bitcoin‬    is pumping again and we already said it causes climate change and only criminals use it, what now
Bitcoin ni mfumo mpya wa kifedha ambao tunaweza kuuita ni mfumo wa kidigital kwani haina hii ya fedha au sarafu huwezi kuzishika kama zilivo pesa za kawaida na pia hata katika utumaji wake baina ya mtu mmoja na mwingine hufanyika kwa njia ya mtandao tu. -Bitcoin ni pesa ya kwanza ya kidigitali au cryptocurrency ya kwanza duniani iliyogunduliwa au kutengezwa mwaka 2009. -Sarafu hii au fedha hii ya kimtandao ipo kwenye group la pesa linaloitwa Cryptocurrency.
Bitcoin ni mfumo mpya wa kifedha ambao tunaweza
kuuita ni mfumo wa kidigital kwani haina hii ya fedha au
sarafu huwezi kuzishika kama zilivo pesa za kawaida na pia
hata katika utumaji wake baina ya mtu mmoja na
mwingine hufanyika kwa njia ya mtandao tu.
-Bitcoin ni pesa ya kwanza ya kidigitali au cryptocurrency
ya kwanza duniani iliyogunduliwa au kutengezwa
mwaka 2009.
-Sarafu hii au fedha hii ya kimtandao ipo kwenye
group la pesa linaloitwa Cryptocurrency.
Niwakati wakujitoa na kuipatiya jamii zetu Elimu ya #BlockchainTechnology na #BTC kwa ujumla kwa vijana wetu , waachane na michezo ya kubeti kwani haina uwezo wakuwatoa walipo zaidi yakuzalisha vijana maskini na tegemezi ,Sasa ni muda wa kuamka 💪🏿💪🏿🔥🔥

Watu Kutaka pesa za haraka na kwa pupa (Tamaa) Hili ni tatizo ni kubwa sana miongoni mwa vijana wengi wa Tanzania na Africa kwa ujumla, utakuta kijana akishapata uelewa kidogo juu ya bitcoin anaanza kutafuta sehemu ya kuwekeza kwa haraka pasipokuwa na uhakika juu ya usalama wa kampuni hiyo ila anawekeza kwasababu tu ameambiwa inalipa vizuri na yeye anataka pesa za haraka.. mwisho wa siku anajikuta kampuni hiyo inapotea mtandaoni na anakula hasara na baadae na yeye anaanza kuamini kuwa cryptocurrency ni utapeli au wizi na baadae anakata tamaa juu ya crptocurrency na kuwathibitishia watu wa jamii inayomzunguka kuwa cryptocurrency sio salama, kumbe yeye ndio alikurupuka na kufanya maamuzi yasiyo sahii pia hakupata uelewa wa kutosha juu ya fursa hii.
Watu Kutaka pesa za haraka na kwa pupa
(Tamaa)
Hili ni tatizo ni kubwa sana miongoni mwa vijana
wengi wa Tanzania na Africa kwa ujumla, utakuta
kijana akishapata uelewa kidogo juu ya bitcoin
anaanza kutafuta sehemu ya kuwekeza kwa haraka
pasipokuwa na uhakika juu ya usalama wa kampuni
hiyo ila anawekeza kwasababu tu ameambiwa
inalipa vizuri na yeye anataka pesa za haraka..
mwisho wa siku anajikuta kampuni hiyo inapotea
mtandaoni na anakula hasara na baadae na yeye
anaanza kuamini kuwa cryptocurrency ni utapeli au
wizi na baadae anakata tamaa juu ya crptocurrency
na kuwathibitishia watu wa jamii inayomzunguka
kuwa cryptocurrency sio salama, kumbe yeye ndio
alikurupuka na kufanya maamuzi yasiyo sahii pia
hakupata uelewa wa kutosha juu ya fursa hii.
There are a lot of different ways to invest your time and money. With a little work and the right teacher, they can all make you money. And not all of them require a ton of time. We’ve watched crypto grow over the years. It started out as one coin called Bitcoin years ago. But now thousands of coins and cryptocurrencies are mentioned on every news platform, website… it’s everywhere! People are now understanding the truth about crypto… #cryptocurrency #BTC
There are a lot of different ways to invest your time and money.

With a little work and the right teacher, they can all make you money. And not all of them require a ton of time.

We’ve watched crypto grow over the years. It started out as one coin called Bitcoin years ago.

But now thousands of coins and cryptocurrencies are mentioned on every news platform, website… it’s everywhere!

People are now understanding the truth about crypto…

#cryptocurrency #BTC
kama leo nikipewa nafasi ya kuwashauri Vijana wenzangu ✍✍Nitazungumza nawo kuhusu Blockchain Technology ,#cryptocurrency ,#Binance 🔥🔥🔥
kama leo nikipewa nafasi ya kuwashauri Vijana wenzangu ✍✍Nitazungumza nawo kuhusu Blockchain Technology ,#cryptocurrency ,#Binance 🔥🔥🔥
Tuwashauri vijana wetu waekeze nguvu nyingi BINANCE waachane na kubet💫
Tuwashauri vijana wetu waekeze nguvu nyingi BINANCE waachane na kubet💫
Explore the lastest crypto news
⚡️ Be a part of the latests discussions in crypto
💬 Interact with your favorite creators
👍 Enjoy content that interests you
Email / Phone number

Latest News

--
View More
Sitemap
Cookie Preferences
Platform T&Cs