Spidi na ukuaji wa maisha vinatufanya tusahau ku-enjoy maisha yenyewe tunayoyatafuta.

- Unatafuta hela kuboresha familia, unakosa muda wa kutulia na familia.

- Unafukuzia kazi unapata kazi unaishi ukilalamika huipendi kazi

- Mtaani kwako hujuani na mtu zaidi ya jirani wa karibu sana ila unachati na watu zaidi ya 100 mtandaoni

- Unanunua nguo wanakuambia imepitwa na fashion

- Simu ni nzima haina tatizo ila unahitaji mpya iliyotoka

- Mimea ya plastiki inauzwa ghali kuliko halisi

- Unakula chakula cha aina moja zaidi ya miezi 3 sababu ni haraka kupika au kununua

- Ukikosa internet hakuna kingine unaweza fajya zaidi ya kulala

- Kabla hujaipata hela ushaipangilia vizuri, ukiipata imeisha tayari na hujafanya ulichopanga…

https://www.binance.info/en/activity/referral-entry/CPA/together-v3?ref=CPA_00JQBM7I4K